Wananchi tafuteni hatimiliki za ardhi kupunguza migogoro.
Na Isack Dickson. Wananchi wa kijiji cha Terrat na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuhakikisha wanamiliki hati miliki za ardhi ili kupunguza migogoro ya ardhi katika jamii. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti…