James Nyasuka: Mlinzi wa Bioanuai Anayehatarisha Maisha Yake Kulinda Ushoroba wa Kwakuchinja

Katika ushoroba wa Kwakuchinja, unaounganisha mbuga za wanyama za Tarangire na Hifadhi ya Ziwa Manyara, James Nyasuka, mlinzi wa wanyamapori wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), ana simulizi ya kusisimua inayodhihirisha jinsi walinzi wa bioanuai wanavyojitoa kwa uhifadhi licha ya changamoto kubwa wanazokabiliana nazo.

Mwandishi wa Orkonerei FM, Isack Dickson (kushoto), akifanya mahojiano na mlinzi wa wanyamapori, James Nyasuka, katika ushoroba wa Kwakuchinja, Disemba 2023. Mahojiano haya yalilenga kufichua changamoto zinazowakumba walinzi wa bioanuai.

James ameshuhudia matukio hatari, ikiwemo kung’atwa na jangili na kunusurika kushambuliwa kwa mkuki na mwanakijiji mwenye hasira wakati akilinda maliasili za taifa. Pamoja na changamoto hizi, dhamira yake ni kuhakikisha wanyamapori na rasilimali za taifa zinalindwa kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

🎧 Sikiliza sauti ya makala hii kamili inayomulika changamoto na juhudi za uhifadhi kupitia walinzi kama James hapa:

  • Related Posts

    Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

    Baraza la madiwani jiji la Arusha limefungwa rasmi katika hafla ya kipekee iliyoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mh. Mohamed Mchechengerwa.…

    Continue reading
    Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

    World Sickle Cell Awareness Day ni siku inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Juni ili kuhamasisha elimu juu ya ugonjwa wa sikoseli. Ugonjwa huu wa damu, unaosababisha mabadiliko ya seli nyekundu…

    Continue reading

    One thought on “James Nyasuka: Mlinzi wa Bioanuai Anayehatarisha Maisha Yake Kulinda Ushoroba wa Kwakuchinja

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    You Missed

    Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

    Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

    Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

    Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

    Polisi Arusha Waimarisha Ukaguzi wa Mabasi Kukabiliana na Ajali

    Polisi Arusha Waimarisha Ukaguzi wa Mabasi Kukabiliana na Ajali

    Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Maalumu Kuelekea Msimu wa Utalii Arusha

    Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Maalumu Kuelekea Msimu wa Utalii Arusha

    Kijana auawa kwa kisu Arusha, wananchi wachoma nyumba ya mtuhumiwa

    Kijana auawa kwa kisu Arusha, wananchi wachoma nyumba ya mtuhumiwa

    Jamii ya Maa Iwe Makini na Wanaotaka Kuigombanisha na Serikali – Fred Lowassa

    Jamii ya Maa Iwe Makini na Wanaotaka Kuigombanisha na Serikali – Fred Lowassa
    Enable Notifications OK No thanks