Kampeni ya Mama Samia Yaendelea Kutoa Msaada wa Kisheria Arusha
Na Nyangusi Ole Sang’ida Arusha, Tanzania – Wizara ya Katiba na Sheria kupitia mpango wa Mama Samia Legal Aid imeendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi mkoani Arusha, ikiwa ni…
Na Nyangusi Ole Sang’ida Arusha, Tanzania – Wizara ya Katiba na Sheria kupitia mpango wa Mama Samia Legal Aid imeendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi mkoani Arusha, ikiwa ni…
Katika jitihada za kuboresha afya ya mifugo, hususan mbuzi na kondoo, wataalamu wa mifugo kutoka Wilaya ya Simanjiro wamekutana leo katika ukumbi wa mikutano wa Ilaramata (Manyara Hall) kujadili mradi…
Malayoni,Malisho ya Mifugo na Hatari za Wanyamapori Orkonerei Fm Radio.Katika jamii ya Kimasai, vijana wa kiume huanza kuchunga mifugo kuanzia umri mdogo wa miaka mitano. Eneo la Ushoroba wa Kwakuchinja, lililopo Kata…
Ni wiki moja tangu shule za msingi na sekondari kufunguliwa rasmi nchini Tanzania, huku wazazi na viongozi wakionyesha jitihada zao kuhakikisha wanafunzi wanafika shuleni kwa wakati. Hata hivyo, hali si…
Wazazi wa Jamii ya Wafugaji wamaasai wametakiwa kutumia mifugo walionao na raslimali zingine kuwapeleka watoto wao Shule bila kuwabagua. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Mchepuo wa Kiingereza…