Nini kinawakwamisha vijana kushiriki kuwania nafasi za uongozi?.

Kutokana na kipato kidogo vijana hawana hela za kuweza kuwawezesha kwenye michakato ya uchaguzi” Kijana.

Na Dorcas Charles.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 vijana ni asilimia 46. Tafsiri ya kijana inasema kijana ni yule mwenye umri wa miaka 15 hadi 35

Sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2019 inataka ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika ngazi zote za maamuzi mjini na vijijini

 mkakati wa sera ya vijana umeainisha bayana majukumu ya kila mdau katika kufanikisha sera ya maendeleo ya vijana ili kufikia malengo ya kuwawezesha vijana nchini katika nyanja za kiuchumi ,kijamii na kisiasa

Lakini  jee malengo haya yanaakisi na sera inavyoseama, Vijana wanaeleza  nini kinapelekea  wao kutokushika nafasi za uongozi?

Inatambulika kuwa vijana ndio wenye nguvu , wazalishaji na wakati mwengine enye ubunifu na afya na ni kundi kubwa lililopo katika jamii swali la kujiuliza wanaaminika katika kushika nafasi za uongozi, baadhi ya wazee wa mtaa wa mita 200 kata ya Ngarenaro mkoani Arusha wanaeleza.

Ili kuhakikisha masuala yanayowakabili vijana yanashuhulikiwa  ni muhimu kuwa na makakati wa kuwashirikisha vijana katika mchakato wa maamuzi na majukumu ya uongozi na kuwaandaa vijana katika nafasi za uongozi.

Wenyekiti wa mtaa wa Mita mia mbili Kata ya Ngarenaro Jijini Arusha  Peter Lukumay anasema wao wanawaanda vjana kushika nafasi za uongozi.

Ili vijana wengi kujitokeza kuwania nafasi za uongozi katika chaguzi zote za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu nini kifanyike, vijana hawa na mwenyekiti wa kijiji cha mita 200 wanaeleza.

Related Posts

Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

Baraza la madiwani jiji la Arusha limefungwa rasmi katika hafla ya kipekee iliyoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mh. Mohamed Mchechengerwa.…

Continue reading
Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

World Sickle Cell Awareness Day ni siku inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Juni ili kuhamasisha elimu juu ya ugonjwa wa sikoseli. Ugonjwa huu wa damu, unaosababisha mabadiliko ya seli nyekundu…

Continue reading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You Missed

Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

Polisi Arusha Waimarisha Ukaguzi wa Mabasi Kukabiliana na Ajali

Polisi Arusha Waimarisha Ukaguzi wa Mabasi Kukabiliana na Ajali

Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Maalumu Kuelekea Msimu wa Utalii Arusha

Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Maalumu Kuelekea Msimu wa Utalii Arusha

Kijana auawa kwa kisu Arusha, wananchi wachoma nyumba ya mtuhumiwa

Kijana auawa kwa kisu Arusha, wananchi wachoma nyumba ya mtuhumiwa

Jamii ya Maa Iwe Makini na Wanaotaka Kuigombanisha na Serikali – Fred Lowassa

Jamii ya Maa Iwe Makini na Wanaotaka Kuigombanisha na Serikali – Fred Lowassa
Enable Notifications OK No thanks