Mwaka Mmoja Baada ya Ripoti ya Orkonerei FM: Je, Kituo cha Afya Mirerani Kimeboreshwa?

Kituo cha afya cha Mirerani kilichopo kata ya Endiamtu, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kinaendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali licha ya jitihada zilizochukuliwa na serikali baada ya ripoti ya Orkonerei FM mwaka 2023.

Katika ripoti ya awali ya mwaka 2023, changamoto zilizobainishwa zilihusisha uhaba wa majengo, upungufu wa wahudumu wa afya, pamoja na ukosefu wa dawa na vifaa tiba. Hali hiyo ilisababisha madhara makubwa kwa jamii, ikiwemo ongezeko la maambukizi ya magonjwa kama kifua kikuu, na wagonjwa kulazwa sakafuni kutokana na uhaba wa vitanda.

Mabadiliko Yaliyojitokeza

Katika uchunguzi mpya wa mwaka huu, Orkonerei FM imetembelea tena kituo hicho na kubaini kuwepo kwa mabadiliko madogo yaliyofanyika, ikiwemo:

  • Ujenzi wa chumba kipya cha mapokezi
  • Uboreshaji wa jengo la kuhifadhia maiti
  • Kuboresha eneo la utoaji wa dawa

Ili kufahamu zaidi sikiliza makala hii ya sauti na JOYCE ELIUS.

  • Related Posts

    WWF-UK Wapongeza Juhudi za Wananchi wa Longido

    Wawakilishi kutoka shirika la kimataifa la uhifadhi wa mazingira WWF-UK, Bi. Melanie na Bw. James, wametembelea kikundi cha wasikilizaji wa redio katika wilaya ya Longido kinachonufaika na mradi wa REDAA…

    Continue reading
    KINNAPA Yarejesha Wasichana 200 Mashuleni Manyara

    Shirika lisilo la kiserikali la KINNAPA Tanzania, limefanikiwa kurejesha zaidi ya wanafunzi 200, hasa wasichana, mashuleni katika wilaya za Simanjiro, Kiteto, Babati, Siha na Hai, kupitia mradi wake wa “Mpe…

    Continue reading

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    You Missed

    Embooreet Sekondari Yageuza Kinyesi Kuwa Nishati Safi ya Kupikia

    Embooreet Sekondari Yageuza Kinyesi Kuwa Nishati Safi ya Kupikia

    WWF-UK Wapongeza Juhudi za Wananchi wa Longido

    WWF-UK Wapongeza Juhudi za Wananchi wa Longido

    KINNAPA Yarejesha Wasichana 200 Mashuleni Manyara

    KINNAPA Yarejesha Wasichana 200 Mashuleni Manyara

    Simanjiro: Watu Wenye Ulemavu na Ushiriki wa mikutano ya maamuzi

    Simanjiro: Watu Wenye Ulemavu na Ushiriki wa mikutano ya maamuzi

    Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

    Baraza la Madiwani Arusha Laitimishwa Rasmi, Viongozi Wasisitiza amani

    Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii

    Siku ya Elimu ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani — 19 Juni: Kuleta Mwanga kwa Wagonjwa na Jamii
    Enable Notifications OK No thanks