RC Manyara Atembelea Vituo vya Watu Wenye Mahitaji Maalum Babati
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, leo Disemba 29, 2024, ametembelea na kutoa zawadi za sikukuu ya mwaka mpya 2025 katika vituo vitatu vya watu wenye mahitaji…
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, leo Disemba 29, 2024, ametembelea na kutoa zawadi za sikukuu ya mwaka mpya 2025 katika vituo vitatu vya watu wenye mahitaji…
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameonyesha kusikitishwa na utendaji wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Chifu Sarja, Eelifadhili Gefi, baada ya kushindwa kuonekana mara mbili mfululizo wakati wa…
Jumla ya kaya 22 zenye watu 96 na mifugo 196 zilizohama kwa hiari kutoka ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro zimepokelewa rasmi katika Kijiji cha Msomera, Wilayani Handeni. Kaya hizo zimekabidhiwa…
Jifunze simulizi ya Recho Thomas, binti wa jamii ya Wamasai aliyeepuka ukeketaji na sasa ni sauti ya mabadiliko. Soma na Sikiliza jinsi alivyoshinda mila potofu na juhudi za kumaliza ukatili…
Na Marystella Brayson Katika mkutano wa Umoja wa Afrika Mashariki (EAPP) uliofanyika Desemba 9, 2024, mjini Mombasa, Kenya, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga, alizungumzia mafanikio na mipango ya…
Na Evanda Barnaba Korongo la Losunyai, maarufu kwa mchanga unaotumika kwa ujenzi mkubwa wa majengo jijini Arusha, limekuwa chanzo kikuu cha changamoto kwa wakazi wa Wilaya ya Simanjiro-Manyara, na Monduli-Arusha.…
Simanjiro, Manyara – Wakazi wa Langai wapo katika hali ya wasiwasi kutokana na kusimama kwa ujenzi wa daraja ambalo lilitarajiwa kuwa kiunganishi muhimu cha usafiri na usalama wa wakazi wa…
Na Joyce Elius Tanzania, kama mataifa mengine mengi, inakabiliana na changamoto kubwa ya ukatili wa kijinsia, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa hali ni ya kutisha. Kwa mujibu wa Takwimu za Demografia…
Na Nyangusi Ole Sang’ida Leo, 9 Disemba 2024, waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki katika halmashauri ya wilaya ya Meru, mkoani Arusha, wanaendelea na mafunzo kwa vitendo katika maandalizi…
Na Mwandishi wetu. Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania,Mwl. Fakii Raphael Lulandala, Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, leo (9 Disemba 2024) ameongoza zoezi la upandaji miti na usafi…