Kumbukeni Kujiandaa Kukabiliana na Ukame Terrat Simanjiro
Jamii ya wafugaji wa kijiji cha Terrat, Wilaya ya Simanjiro, inakumbushwa kutumia vizuri msimu huu wa mvua kuandaa malisho kwa ajili ya mifugo ili kuepuka hasara katika kipindi kijacho cha…
Jamii ya wafugaji wa kijiji cha Terrat, Wilaya ya Simanjiro, inakumbushwa kutumia vizuri msimu huu wa mvua kuandaa malisho kwa ajili ya mifugo ili kuepuka hasara katika kipindi kijacho cha…
Na Nyangusi Ole Sang’ida Tarehe 17 Aprili 2025, Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Festo Kiswaga, alifanya ziara ya kikazi katika kata ya Mswakini ili kusikiliza kero za wananchi na…
Shirika la KINNAPA Tanzania limeendelea kuwa nguzo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya kwa jamii za wafugaji, wakulima wadogo, waokota matunda, na makundi ya pembezoni kote nchini Tanzania, kwa kutoa elimu,…
KINNAPA Development Programme continues to play a vital role in transforming the lives of pastoralists, small-scale farmers, fruit gatherers, and other marginalized groups across Tanzania. Through initiatives focused on education,…
Nyangusi Ole Sang’ida Ilkirevi, Arusha – Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilkirevi kilichopo katika Kata ya Olturoto, Wilaya ya Arusha, Bw. Abraham Gerald Mollel ameongoza operesheni ya kijiji dhidi ya mbwa…
Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii…
Katika kijiji cha Loswaki, wilayani Simanjiro, Marta Noah ameandika historia ndogo lakini yenye ujumbe mkubwa. Katika jamii ya Kimasai ambako mila na desturi zimekuwa kizuizi kwa wanawake kumiliki ardhi, Martha…
Katika kijiji cha Engonongoi, wilayani Simanjiro, kuna familia ambayo imeamua kupita njia isiyozoeleka na ambayo sasa imekuwa mfano wa kuigwa na jamii yao. Ni familia ya Thomas Lazaro na mkewe…
Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni…
Na Nyangusi ole Sang’ida Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid ameongoza maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ya mwaka 2025.…