Kaya 22 Zenye Watu 96 Zapokelewa Rasmi Msomera Kutoka Ngorongoro
Jumla ya kaya 22 zenye watu 96 na mifugo 196 zilizohama kwa hiari kutoka ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro zimepokelewa rasmi katika Kijiji cha Msomera, Wilayani Handeni. Kaya hizo zimekabidhiwa…