Rais Samia Aongoza Maadhimisho ya Wanawake Arusha 2025
Na Nyangusi ole Sang’ida Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid ameongoza maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ya mwaka 2025.…
Na Nyangusi ole Sang’ida Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid ameongoza maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ya mwaka 2025.…
Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Afya ya mwaka 2007, jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za afya ndani ya familia ni la pamoja kati ya wanaume na wanawake.…
UN Women kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wamefanya mdahalo mkubwa Januari 8, 2025, katika Kata ya Naalarami, wenye lengo la kuimarisha nafasi ya mwanamke kiuchumi, kisiasa, na…
Tatizo la maji limeendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Kijiji cha Lorokare, kata ya Oljoro No. 5, jambo linalowakwamisha kushiriki mikutano ya kijamii inayolenga kutatua kero zao. Wananchi wengi,…
Nijuze Radio Show, Kwa mujibu wa Takwimu za Demografia na Afya Tanzania (TDHS) Za mwaka 2015/2016, 40% ya wanawake wenye umri wa miaka 15- 49 wameripoti kufanyiwa ukatili wa kimwili,…
Nijuze Radio Show. Jamii nyingi za kifugaji zinaishi katika maeneo yaliyombali na miundombinu ya umeme, masoko hivyo zinakabiliwa na changamoto za kupata rasilimali na fursa za kuboresha kipato chao kipindi…
Mifumo ya kuripoti matukio ya rushwa ni njia ambazo mwananchi ama yule aliyefikwa na tatizo kuweza kufikisha mahala panapostahili. Mifumo hiyo ipo ya namna nyingi mfano kufika mwenyewe kwenye ofisi…
Nijuze Radio Show. Kwa mujibu wa Sera ya afya ya uzazi ya mwaka 2008 inalenga kuboresha afya na ustawi wa wanawake, wanaume na watoto kwa kuzingatia haki za binadamu na…
Nijuze Radio Show. Kuwepo kwa mvua kubwa zinazosababisha mafuriko na kuharibu miundombinu,mfano Kwa mwaka 2023 hadi mwanzoni mwa 2024 mafuriko yaliosababishwa na mvua za El Nino yaliathiri miundombinu ya barabara…