Terrat, Lobosireti zazindua tamasha la michezo kwa watumishi.
Na Dorcas Charles. Wafanyakazi wa Tarafa ya Terrat na Tarafa ya Lobosiret Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wamezindua tamasha la michezo na mazoezi ya viungo kwa watumishi yaliyofanyika shule ya…