Je, Ahadi Imetimizwa? Diwani wa Oljoro No. 5 na Kero ya Maji Songambele
Septemba Mwaka 2024 kulianza kuonekana matumaini makubwa kwa wakazi wa kitongoji cha Songambele, kijiji cha Lorokare, kata ya Oljoro No. 5, baada ya Diwani wa kata hiyo, Bw. Loshie Lesakui,…