Unatumiaje ukame kujipatia kipato?.
Nijuze Radio Show. Jamii nyingi za kifugaji zinaishi katika maeneo yaliyombali na miundombinu ya umeme, masoko hivyo zinakabiliwa na changamoto za kupata rasilimali na fursa za kuboresha kipato chao kipindi…

Na Joyce Elius. Afisa kilimo kata ya Terrat Ndg.PETRO MEJOOLI LUKUMAY amesema kuwa wanajamii wanatakiwa kulima mbogamboga na mazao mengine mchanganyiko ili kujiingizia kipato haswa wakati wa upungufu wa mvua…
Na Evander Barnaba. Kwenye ipindi cha kiangazi wanajamii wa Kijiji cha Terrat huwa wanapata changamoto ya kupata mboga za majani lakini unafahamu hiyo ni Fursa pia ?. Katika Makala fupi…