Umemejua unavyotumika katika usharoba wa Kwakuchinja
Ushoroba wa Kwakuchinja ni kiungo muhimu kati ya Hifadhi za Taifa za Tarangire na Ziwa Manyara, ukihifadhi bioanuwai na wanyamapori muhimu. Hata hivyo, eneo hili limekuwa likikabiliwa na changamoto za…