Matumizi ya Dawa Kiholela: Ni Tiba au Sumu?
Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii…
Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii…
Katika kijiji cha Engonongoi, wilayani Simanjiro, kuna familia ambayo imeamua kupita njia isiyozoeleka na ambayo sasa imekuwa mfano wa kuigwa na jamii yao. Ni familia ya Thomas Lazaro na mkewe…
Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni…
Katika juhudi za kupambana na ukatili wa kijinsia nchini Tanzania, ushiriki wa vijana umetajwa kuwa chachu muhimu ya mabadiliko chanya katika jamii. Katika kipindi cha Kurunzi Maalum cha Orkonerei FM…
Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Afya ya mwaka 2007, jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za afya ndani ya familia ni la pamoja kati ya wanaume na wanawake.…
Simanjiro ni mojawapo ya wilaya zinazokumbwa na changamoto kubwa ya ukame, hali inayochangia uhaba wa maji safi na salama kwa wakazi wake. Ukame huu umeathiri kwa kiasi kikubwa vyanzo vya…
Malayoni,Malisho ya Mifugo na Hatari za Wanyamapori Orkonerei Fm Radio.Katika jamii ya Kimasai, vijana wa kiume huanza kuchunga mifugo kuanzia umri mdogo wa miaka mitano. Eneo la Ushoroba wa Kwakuchinja, lililopo Kata…
Changamoto ya migogoro kati ya wanyamapori na binadamu inazidi kuongezeka Tanzania, hasa kwa jamii zilizo karibu na hifadhi na mapito ya wanyama. Taarifa zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2012 na…
Shule ya Msingi Burunge, iliyopo katika kijiji cha Sangaiwe, Halmashauri ya Babati, ni moja ya mifano hai ya jinsi uhifadhi wa ushoroba wa Kwakuchinja unavyoboresha maisha ya jamii. Kwa msaada…
Wakaazi wa kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro wamelalamikia hali ya mfumuko wa bei ya mahindi ulivyongezeka kwa zaidi kutoka shilingi elfu 7,000 hadi shilingi elfu 15,000. Jamii ya wafugaji…