MBIBO APONGEZA MCHANGO WA WAJIOLOJIA/WANAJIOSAYANSI MATUMIZI NISHATI SAFI
#HABARI Serikali imepongeza mchango wa Wajiolojia na Wajiosayansi katika kusaidia kuhama kutoka matumizi ya nishati chafu kwenda nishati safi ikiwemo azma ya kutumia utajiri wa madini ya Tanzania kwa maendeleo…