Umuhimu wa matumizi ya choo bora.
Kurunzi Maalumu. Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey)…
Kurunzi Maalumu. Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey)…
Na Dorcas Charles. Wananchi wameshauriwa kutumia choo bora ili kujiepusha na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu, homa ya matumbo na magonjwa mengine yanayosbabishwa na uchavuzi wa mazingira.…
Na Joyce Elius. Afisa kilimo kata ya Terrat Ndg.PETRO MEJOOLI LUKUMAY amesema kuwa wanajamii wanatakiwa kulima mbogamboga na mazao mengine mchanganyiko ili kujiingizia kipato haswa wakati wa upungufu wa mvua…
Na Evander Barnaba. Kwenye ipindi cha kiangazi wanajamii wa Kijiji cha Terrat huwa wanapata changamoto ya kupata mboga za majani lakini unafahamu hiyo ni Fursa pia ?. Katika Makala fupi…
Na Baraka David Ole Maika. Lucas ni mkaazi wa wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha familia yake imekuwa na mgogoro wa ardhi ambao umesababisha kushindwa kufanya maendeleo yoyote katika Ardhi…
Na Isack Dickson. Wananchi wa kijiji cha Terrat na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuhakikisha wanamiliki hati miliki za ardhi ili kupunguza migogoro ya ardhi katika jamii. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti…
Kulingana na ripoti ya afya ya demografia na makazi yaani Demographic And Health Survey ya mwaka 2015/16 mkoa wa Manyara unaongoza kwa ukeketaji kwa asilimia 58 ya wanawake wenye umri…
“Kutokana na kipato kidogo vijana hawana hela za kuweza kuwawezesha kwenye michakato ya uchaguzi” Kijana. Na Dorcas Charles. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 vijana…
Na Dorcas Charles. Jamii nyingi wanawake hukosa nafasi ya kushiriki katika maamuzi ya uongozi kutokana na milia na desturi. Si mila pekee hata tamaduni za maeneo mengi nchini pia yamekuwa…