Majiko Matawi Yabadili Maisha ya Wanawake wa Kikundi cha Irongoo Wilaya ya Babati
Kijijini Sangaiwe, Kata ya Mwada, Wilaya ya Babati, wanawake wa Kikundi cha Irongoo wameanzisha mabadiliko makubwa ya mazingira na uchumi kwa kutumia teknolojia ya majiko matawi. Majiko haya, yanayotumia udongo…