Wadau Waungana Kunusuru Mazingira ya Maasai Steppe
Katika kukabiliana na changamoto kubwa za kimazingira zinazoathiri ukanda wa Maasai Steppe (Kiteto, Simanjiro, Monduli na Longido), wadau mbalimbali wamekutana Simanjiro kujadili mikakati ya pamoja ya kurejesha uoto wa asili.…