SELA Yaendesha Mafunzo ya Ukatili wa Kijinsia kwa Kamati ya MTAKUWWA Terrat
Shirika la Msaada wa Kisheria Simanjiro (SELA) limeanza utekelezaji wa mradi wake wa Sauti ya Mwanamke, kwa kutoa mafunzo kwa Kamati ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya…