Ushiriki wa Wanawake Katika Mikutano ya Maendeleo Kijijini Loswaki Wajadiliwa
#Habari Katika kijiji cha Loswaki, kilichopo wilayani Simanjiro, ushiriki wa wanawake katika mikutano ya kijamii umeendelea kuwa mada ya mjadala wa maendeleo. Wanawake kama Winifrida Amos, mkazi wa kijiji hicho,…