Madereva wa Serikali Arusha Wawezeshwa kwa Mafunzo ya Usalama Barabarani
Na Nyangusi Ole Sang’ida Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limetoa mafunzo maalumu kwa madereva wanaoendesha magari ya Serikali mkoani humo, ili kuwajengea uwezo wa matumizi…