Recho Thomas: Binti Shujaa Anayepaza Sauti Dhidi ya Ukeketaji katika Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia
Jifunze simulizi ya Recho Thomas, binti wa jamii ya Wamasai aliyeepuka ukeketaji na sasa ni sauti ya mabadiliko. Soma na Sikiliza jinsi alivyoshinda mila potofu na juhudi za kumaliza ukatili…