WAZIRI MKUU AWATAKA WAFAMASIA KUZINGATIA MAADILI
#HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wafamasia nchini watoe dawa kwa kuzingatia maadili ya taaluma yao na waache kutoa dawa kiholela ili kuimarisha ufanisi wa huduma za afya na kuwalinda…
#HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wafamasia nchini watoe dawa kwa kuzingatia maadili ya taaluma yao na waache kutoa dawa kiholela ili kuimarisha ufanisi wa huduma za afya na kuwalinda…
Donald J. Trump ameweza kurejea Ikulu kwa mara ya pili Jumatano baada ya kushinda uchaguzi dhidi ya Makamu wa Rais Kamala Harris, licha ya mashtaka ya uhalifu, tuhuma za kujaribu…
Je, umewahi kufikiria maisha ambayo kila unapohitaji kuwasiliana na familia yako, ni lazima upande juu ya mti ili upate mtandao? Katika kijiji cha Sukuro, kilichopo kata ya Komolo, wilaya ya…
Na Mwandishi wetu. Katika kijiji cha Sukuro, kata ya Komolo, wilaya ya Simanjiro, maisha yanaonekana kuwa na changamoto ya aina yake ukosefu wa mtandao wa simu. Ili waweze kupiga simu,…
Tatizo la maji limeendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Kijiji cha Lorokare, kata ya Oljoro No. 5, jambo linalowakwamisha kushiriki mikutano ya kijamii inayolenga kutatua kero zao. Wananchi wengi,…
Nijuze Radio Show, Kwa mujibu wa Takwimu za Demografia na Afya Tanzania (TDHS) Za mwaka 2015/2016, 40% ya wanawake wenye umri wa miaka 15- 49 wameripoti kufanyiwa ukatili wa kimwili,…
Na waandishi wetu Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu nbs inasema 25.6% ya wanawake waliokati ya umri wa miaka 15- 64 sawa na milioni 25.6 hawafanyi kazi yoyote…
Na Evanda Barnaba Uhifadhi wa mazao ya chakula ni suala muhimu sana, hasa kwa wakulima na jamii zetu kwa ujumla. Mazao mengi yanaharibika baada ya mavuno kutokana na uhifadhi duni,…
Kurunzi Maalumu. Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey)…
Nijuze Radio Show. Jamii nyingi za kifugaji zinaishi katika maeneo yaliyombali na miundombinu ya umeme, masoko hivyo zinakabiliwa na changamoto za kupata rasilimali na fursa za kuboresha kipato chao kipindi…