Umuhimu wa matumizi ya choo bora.
Kurunzi Maalumu. Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey)…
Kurunzi Maalumu. Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey)…
Nijuze Radio Show. Jamii nyingi za kifugaji zinaishi katika maeneo yaliyombali na miundombinu ya umeme, masoko hivyo zinakabiliwa na changamoto za kupata rasilimali na fursa za kuboresha kipato chao kipindi…
Kurunzi Maalumu. Migogoro ya ardhi ni hali ya kutokubaliana au mvutano kati ya pande mbili au zaidi kuhusu umiliki, matumizi, au mipaka ya ardhi. Migogoro hii inaweza kusababishwa na sababu…
Na Evander Barnaba. Kwenye ipindi cha kiangazi wanajamii wa Kijiji cha Terrat huwa wanapata changamoto ya kupata mboga za majani lakini unafahamu hiyo ni Fursa pia ?. Katika Makala fupi…
Na Isack Dickson. Wananchi wa kijiji cha Terrat na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuhakikisha wanamiliki hati miliki za ardhi ili kupunguza migogoro ya ardhi katika jamii. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti…
Kulingana na ripoti ya afya ya demografia na makazi yaani Demographic And Health Survey ya mwaka 2015/16 mkoa wa Manyara unaongoza kwa ukeketaji kwa asilimia 58 ya wanawake wenye umri…
“Kutokana na kipato kidogo vijana hawana hela za kuweza kuwawezesha kwenye michakato ya uchaguzi” Kijana. Na Dorcas Charles. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 vijana…
Na Isack Dickson. Tanzania inapoteza takriban hekta 372,000 za misitu kila mwaka kutokana na ukataji miti kwa ajili ya kuni, mkaa, na kilimo. Ukataji miti umesababisha kupungua kwa eneo la…
Mifumo ya kuripoti matukio ya rushwa ni njia ambazo mwananchi ama yule aliyefikwa na tatizo kuweza kufikisha mahala panapostahili. Mifumo hiyo ipo ya namna nyingi mfano kufika mwenyewe kwenye ofisi…
Na Dorcas Charles. Wafanyakazi wa Tarafa ya Terrat na Tarafa ya Lobosiret Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wamezindua tamasha la michezo na mazoezi ya viungo kwa watumishi yaliyofanyika shule ya…