“Mwambie Nimesafiri”: Wanawake Wabeba Mzigo wa Ujauzito Peke Yao,Simulizi Kutoka Terrat
Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni…