Ulinzi na doria ulivosaidia kupunguza uwindaji haramu ndani ya ushoroba wa kwakuchinja
Katika juhudi za kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori, Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) imethibitisha kuwa doria za mara kwa mara zimefanikisha kupunguza uwindaji haramu katika ushoroba wa…