Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja
Malayoni,Malisho ya Mifugo na Hatari za Wanyamapori Orkonerei Fm Radio.Katika jamii ya Kimasai, vijana wa kiume huanza kuchunga mifugo kuanzia umri mdogo wa miaka mitano. Eneo la Ushoroba wa Kwakuchinja, lililopo Kata…