Unamwajibisha vipi kiongozi wako kuchukua hatua dhidi ya athari za mafuriko?.
Nijuze Radio Show. Kuwepo kwa mvua kubwa zinazosababisha mafuriko na kuharibu miundombinu,mfano Kwa mwaka 2023 hadi mwanzoni mwa 2024 mafuriko yaliosababishwa na mvua za El Nino yaliathiri miundombinu ya barabara…