HATUPIGI PICHA, TUNAPIGA SIMU: Changamoto za Mawasiliano Kijijini Sukuro
Je, umewahi kufikiria maisha ambayo kila unapohitaji kuwasiliana na familia yako, ni lazima upande juu ya mti ili upate mtandao? Katika kijiji cha Sukuro, kilichopo kata ya Komolo, wilaya ya…