![](https://ors-radio.co.tz/wp-content/uploads/2024/06/Picture5.jpg)
Katika ushoroba wa Kwakuchinja, unaounganisha mbuga za wanyama za Tarangire na Hifadhi ya Ziwa Manyara, James Nyasuka, mlinzi wa wanyamapori wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), ana simulizi ya kusisimua inayodhihirisha jinsi walinzi wa bioanuai wanavyojitoa kwa uhifadhi licha ya changamoto kubwa wanazokabiliana nazo.
![](https://ors-radio.co.tz/wp-content/uploads/2023/12/1735826902636-1-1024x682.jpg)
James ameshuhudia matukio hatari, ikiwemo kung’atwa na jangili na kunusurika kushambuliwa kwa mkuki na mwanakijiji mwenye hasira wakati akilinda maliasili za taifa. Pamoja na changamoto hizi, dhamira yake ni kuhakikisha wanyamapori na rasilimali za taifa zinalindwa kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
🎧 Sikiliza sauti ya makala hii kamili inayomulika changamoto na juhudi za uhifadhi kupitia walinzi kama James hapa:
Uku hamsikikii redio nyingne zimewazimaa amkenii upyaa 2025 muwe really
Kazi nzuri Sanaa