Mifumo ya kuripoti vitendo vya rushwa ni rafiki kwa mwanamke.

Mifumo ya kuripoti matukio ya rushwa ni njia ambazo mwananchi ama yule aliyefikwa na tatizo kuweza kufikisha mahala panapostahili.

Mifumo hiyo ipo ya namna nyingi mfano kufika mwenyewe kwenye ofisi za takukuru lakini kupiga simu na kutumia ujumbe mfupi ila kuna changamoto,haswa wanawake kulingana na mila,desturi na tamaduni ambazo zinamzuia mwanamke kuzungumza.

Wakati mwingine jamii haimwamini mwanamke kama kweli ameombwa Rushwa,Katika Makala hii ya Nijuze inaangazia “Mifumo ya kuripoti maukio ya rushwa ni Rafiki kwa Mwanamke?” karibu kuisikiliza.

Related Posts

UN Women na Halmashauri ya Monduli: Wanawake Waendelea Kupaa Kiuchumi na Kiuongozi

UN Women kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wamefanya mdahalo mkubwa Januari 8, 2025, katika Kata ya Naalarami, wenye lengo la kuimarisha nafasi ya mwanamke kiuchumi, kisiasa, na…

Continue reading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You Missed

TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

Maji Safi na Salama ni Yapi?

Maji Safi na Salama ni Yapi?

Mbinu Bora za Uhifadhi wa Mazao ya Chakula kwa Usalama na Ufanisi

Mbinu Bora za Uhifadhi wa Mazao ya Chakula kwa Usalama na Ufanisi

Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

Migogoro baina ya Wanyamapori na Binadamu Tanzania: Chanzo na Suluhisho

Migogoro baina ya Wanyamapori na Binadamu Tanzania: Chanzo na Suluhisho

Namna Shule ya Msingi Burunge Inavyonufaika na Uhifadhi wa Ushoroba wa Kwakuchinja

Namna Shule ya Msingi Burunge Inavyonufaika na Uhifadhi wa Ushoroba wa Kwakuchinja
Enable Notifications OK No thanks