Maadhimisho ya siku mazingira duniani.

Na Isack Dickson.

Tanzania inapoteza takriban hekta 372,000 za misitu kila mwaka kutokana na ukataji miti kwa ajili ya kuni, mkaa, na kilimo.

Ukataji miti umesababisha kupungua kwa eneo la misitu kutoka 45% ya eneo lote la nchi mwaka 1990 hadi 37.7% mwaka 2015 .

Pia Mabadiliko hayo yamesababisha kuongezeka kwa wastani wa joto la dunia kwa nyuzi joto 1.1°C tangu kipindi cha kabla ya mapinduzi ya viwanda .

Tanzania imekuwa ikikabiliwa na matukio ya hali mbaya ya hewa kama vile ukame na mafuriko, ambayo yameongezeka kwa kasi katika miongo michache iliyopita.

Ukame umeathiri zaidi ya watu milioni 14 nchini Tanzania katika miaka 20 iliyopita, na kupelekea kupoteza mazao na mifugo.

Karibu kusikiliza makala hii maalumu kuhusiana na mabadiliko ya tabia nchi, athari zake na juudi za urejeshwaji wa mazingira yaliyoharibika taika wilaya ya Simanjiro kata ya Terrat katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani.

  • Related Posts

    TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

    Serikali za vijiji katika Tarafa ya Terrat, wilayani Simanjiro, zimetakiwa kuwa na ushirikiano mzuri na wawekezaji waliopo kwenye maeneo yao kwa kuwaalika na kuwatembelea ili kujenga mahusiano mazuri na kushirikiana…

    Continue reading
    Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

    Malayoni,Malisho ya Mifugo na Hatari za Wanyamapori Orkonerei Fm Radio.Katika jamii ya Kimasai, vijana wa kiume huanza kuchunga mifugo kuanzia umri mdogo wa miaka mitano. Eneo la Ushoroba wa Kwakuchinja, lililopo Kata…

    Continue reading

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    You Missed

    TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

    TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

    Maji Safi na Salama ni Yapi?

    Maji Safi na Salama ni Yapi?

    Mbinu Bora za Uhifadhi wa Mazao ya Chakula kwa Usalama na Ufanisi

    Mbinu Bora za Uhifadhi wa Mazao ya Chakula kwa Usalama na Ufanisi

    Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

    Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

    Migogoro baina ya Wanyamapori na Binadamu Tanzania: Chanzo na Suluhisho

    Migogoro baina ya Wanyamapori na Binadamu Tanzania: Chanzo na Suluhisho

    Namna Shule ya Msingi Burunge Inavyonufaika na Uhifadhi wa Ushoroba wa Kwakuchinja

    Namna Shule ya Msingi Burunge Inavyonufaika na Uhifadhi wa Ushoroba wa Kwakuchinja
    Enable Notifications OK No thanks