Kuzifikia huduma za afya kwenye familia ni jukumu la nani?.

Nijuze Radio Show.

Kwa mujibu wa Sera ya afya ya uzazi ya mwaka 2008 inalenga kuboresha afya na ustawi wa wanawake, wanaume na watoto kwa kuzingatia haki za binadamu na uswa wakijisia, sera hii inasisitiza umuhimu wa kuuzuria kilniki kwa pamoja mama na baba wakati wa ujauzito.

Lakini baadhi ya familia hazishirikiani kwenda kliniki kuzifikiia huduma za afya na hii ni kutokana na baadhi ya familia kutoona umuhimu wakuzifikia huduma za afya kwa pamoja,hii ni kutokana na Mila na desturi zinazomfanya mwanamke peke kua na jukumu la kuzifikia huduma za afya.

Katika makala hii ya NIJUZE RADIO SHOW inaangazia ni Jukumu la nani katika familia kuzifikia huduma za afya ? ikiwa na lengo la Jamii kuachana na mila na desturi zinazomfanya mwanamke ndiyo muhusika mkuu wa kuzifikia huduma za afya pamoja na Uwajibikaji wa viongozi kuboresha miundo mbinu ya afya na barabara,karibu kuisikiliza.

Related Posts

Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

Malayoni,Malisho ya Mifugo na Hatari za Wanyamapori Orkonerei Fm Radio.Katika jamii ya Kimasai, vijana wa kiume huanza kuchunga mifugo kuanzia umri mdogo wa miaka mitano. Eneo la Ushoroba wa Kwakuchinja, lililopo Kata…

Continue reading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You Missed

TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

TAWA Yasihi Serikali za Vijiji Kwenye Uhifadhi Kuimarisha Ujirani Mwema na Wawekezaji

Maji Safi na Salama ni Yapi?

Maji Safi na Salama ni Yapi?

Mbinu Bora za Uhifadhi wa Mazao ya Chakula kwa Usalama na Ufanisi

Mbinu Bora za Uhifadhi wa Mazao ya Chakula kwa Usalama na Ufanisi

Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

Usalama wa Vijana Wanaochunga Mifugo Kwakuchinja

Migogoro baina ya Wanyamapori na Binadamu Tanzania: Chanzo na Suluhisho

Migogoro baina ya Wanyamapori na Binadamu Tanzania: Chanzo na Suluhisho

Namna Shule ya Msingi Burunge Inavyonufaika na Uhifadhi wa Ushoroba wa Kwakuchinja

Namna Shule ya Msingi Burunge Inavyonufaika na Uhifadhi wa Ushoroba wa Kwakuchinja
Enable Notifications OK No thanks