![](https://ors-radio.co.tz/wp-content/uploads/2024/06/joy.jpg)
Na Dorcas Charles.
Jamii nyingi wanawake hukosa nafasi ya kushiriki katika maamuzi ya uongozi kutokana na milia na desturi.
Si mila pekee hata tamaduni za maeneo mengi nchini pia yamekuwa yakiwanyima fursa hiyo muhimu wanawake.
Wananchi wakijbu swali ikiwa mikutano inayoitishwa na viongozi wao inawapa wanawake kujadili fursa za uongozi.
Jamii inatakiwa kuachana na mila na desturi za zamani na kumpa nafasi mwanamke kama alivoshauri afisa tarafa kiruswa.